Copy the code below and paste it into your website.
Download our desktop apps
ZJ RADIO
ZJ RADIO – Sauti ya Teknolojia na Burudani!
Tunakuletea vipindi vya teknolojia, burudani, mahojiano ya wajasiriamali na muziki wa kisasa 24/7 kutoka Kariakoo, Dar es Salaam. Karibu usikilize live sas
Karibu ZJ RADIO – Sauti ya Teknolojia na Burudani kutoka Kariakoo, Dar es Salaam!
ZJ Radio ni redio ya mtandaoni inayokuletea burudani kali, muziki wa kisasa kama Bongo Fleva, Amapiano, Afrobeat pamoja na vipindi vya elimu ya teknolojia, mitindo ya maisha na biashara.
Tunarusha matangazo mubashara (LIVE) na pia tuna vipindi vilivyorekodiwa kwa ajili ya wasikilizaji wetu waliokosa vipindi vya moja kwa moja. Jiunge nasi kila siku kwa habari moto moto, mahojiano, matangazo ya biashara na mengine mengi.
Sikia mdundo wa Kariakoo moja kwa moja, popote ulipo duniani!